Pages

Subscribe:

Wednesday, August 26, 2015

DIAMOND: WALIO HAMA CCM WOTE NI KABILA MOJA

Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram. Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe).

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(Lowasa,Sumaye). Sina shaka alichoandika hakijatoka... kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua). Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

0 comments:

Post a Comment