Pages

Subscribe:

Tuesday, August 11, 2015

MTANGAZAJI DINA MARIOS AJIUNGA NA EFM RASMI

Dina Marios Aliyekiwa Mtangazaji wa Kipindi cha Leo Tena Clouds FM Amepost Picha Akiwa Redio za EFM ikiwa na Maana tayari Ameshahama Redio Clouds Ambayo kwa sababu wanazozijua wao walimweka Bench kwa Muda Mrefu Kiasi cha Mwenyewe Kulalamika Kitendo hicho... Dina Marios Ameandika Haya Katika Ukurasa wake wa Facebook na Kuambatanisha na Hiyo Picha Hapo Juu: "I believe if you keep your... faith, you keep your trust, you keep the right attitude, if you’re grateful, you’ll see God open up new doors.” – Joel Osteen

0 comments:

Post a Comment