Pages

Subscribe:

Thursday, August 20, 2015

JOKATE HABANDUKI KWA ALIKIBA... AMFUATA MPAKA KENYA

11910136_147181532285484_807925537_n
Jokate Mwegelo hatoki begani mwa mahabuba wake, Alikiba. Wawili hao wapo jijini Nairobi, ambapo Kiba yupo kurekodi kipindi cha Coke Studio na Jokate ameamua kuungana naye kumsaidia kumpunguzia baridi la jiji hilo ambalo kipindi hiki linadaiwa kuwa katika kilele chake...
Jokate ameshare picha kadhaa kwenye Instagram zikimuonesha akiwa na hitmaker huyo wa Mwana na pia kumshuhudia mwandani wake huyo akirekodi wimbo anaofanya na kundi Kenya, Sauti Sol.
11925835_863410010403993_1708931298_n
Hata hivyo huenda Jokate akawa ameenda pia kufanya kazi zake binafsi kwakuwa katika picha moja anaonekana akiwa na mtangazaji mrembo wa TV wa nchini humo, Sarah Hassan.
11356856_1476774022622816_64077804_n

0 comments:

Post a Comment