Pages

Subscribe:

Monday, August 24, 2015

HII NDIYO KAULI YA DIAMOND KUHUSU LOWASSA

Diamond ameandika hivi: Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa napost Hapa... Hebu jiulize kwanini wao wakione Chama Kibovu leo baada ya kukatwa wao????? Mbona siku zote hawakuliona hili??? Kwakuwa... Wamekosa ndio Ghafla Chama kibaya..???? Si juzi tu walikuwa wanakisifia???? Tena Masifa kedekede, baada wao kukosa ndio kimekuwa kibaya...???

Kama una FACT nijibu hapo ili mimi na wewe Tuijenge nchi yetu Matusi hayatokusaidia wewe, Mimi wala Mtanzania Mwenzetu ataesoma hapa, Tuelekezane kibusara Ukinipa Point basi naja, Kama Hauna Point nakukaribisha.... Ccm Chama la Wana!!

0 comments:

Post a Comment