Pages

Subscribe:

Wednesday, August 19, 2015

STORY: PETE YA JINI SABRAH EPISODE-2


PETE YA JINI SABRAH - 2
Mtunzi : Mwinyimvua
0789 569355

Niliota nipo beach na marafiki zangu tukipunga upepo gafla akatokea binti mmoja pale tulipokaa sisi binti yule alikuwa anaongea na rafiki yangu alex ingawa macho yake yote alikuwa akiniangalia mimi cha kushangaza binti yule macho yake yalikuwa yaki meta meta kama yakiwaka taa hivi kiukweli nilishtushwa na hali ile mara nikawa ona yule binti na rafiki yangu alex wakielekea kwenye maji kuogelea.

Haikupita muda mfupi gafla alex alisikika akipiga mayoye ya kuomba msaada kwamba aokolewa anakufa sikuweza kuwa amini nilimuona rafiki yangu alex akimezwa na...
joka kubwa aina ya anaconda " Gafla nilikurupuka usingizini huku jasho likiniti ririka mwili mzima hakika sikujua ndoto ile ina maanisha nini nilichukua simu yangu ya toch aina ya techno mchina nikawasha tochi kutafuta kibiriti walau niwashe kibatari.

hakika ndoto ile iliniogopesha sana hasa yule binti macho yake kuwaka taa isitoshe lile joka lililokuwa likimmeza alex nilichukua simu yangu tena kwa mara nyingine kuangalia muda kucheki ilikuwa kama saa 8 : 38 kiza kilizidi kutisha nje mbwa nao walisikika wakibweka gafla nilisikia mlango wangu ukibishwa hodi huku " ngo! ngo! ngo! " Niliinuka taratibu pale kitandani kuelekea kule mlangoni huku nikiwa na hofu kubwa moyoni kuhusu mtu anaegonga hodi usiku ule mnene wenye kiza kizito cha kuogopesha, 
" Nani mwenzangu?? " niliuliza kwa sauti ya chini huku nikishika kitasa cha mlango. " Mimi hapa mama sophia mpangaji mwenzio " sauti ya kike ilisikike ikitokea nje ya mlango, Nilifungua mlango ili kujua shida ya mama sophia iliyomleta pale kwangu taratibu akaing...

0 comments:

Post a Comment