Pages

Subscribe:

Thursday, July 2, 2015

LOVE BOART YA KCEE FT DIAMOND VIDEO KUTOKA JULY 3

Diamond Platnumz anaendelea kuwa katika HeadLines za Mitandao, kutokana na Collabo anazoendelea kufanya, Ikiwa bado "Nana" inafanya vizuri, Siku ya ijumaa Video ya Love Boat aliyoshirikishwa na Kcee itatoka rasmi!! Kcee amepost Video Instagram akiwa na Diamond Platnumz nakuandika " "Love boat video will be...

VIDEO MPYA YA ALIKIBA YAFIKISHA VIEWS ZAIDI YA LAKI MOJA NDANI YA SAA 24

Hii itakuwa ni moja kati ya Video za Ally Kiba zilizopokelewa Vizuri na watu!! Katika Muda wa Masaa 24 tu imeweza kutazamwa mara laki moja. Katika Mtandao wa Instagram Ally Kiba katoa Shukrani zake kwa wote ambao wameitazama video hii mpaka sasa. Hii ndio Post ya Ally Kiba! Soma hapa Chini...

Wednesday, July 1, 2015

AUNT EZEKIEL: NIMEZAA NA MOSE IYOBO LAKINI NDOA YANGU IPO PALE PALE

Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.
Akizungumza na Bongo5, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa...

SALAMA AWAPA MAKAVU WAKOSOAJI WA VIDEO NA MAIONI YAKE JUU YA VIDEO YA ALI KIBA

Salama Jabir ameamua kuongea kuhusu wanaokosoa Vibaya Kazi za wasanii wa Kibongo. Katika Mtandano wa Twitter ameandika: "Wabongo Tumekua Wakosoaji Mpaka Wasanii Wanajishtukia, Hakuna "Zuri Kabisa" Kwenye Macho Yetu. Tuwaache Wasanii Wawe "Wasanii" Nadhani!"...

Video: Navio ft Mr Blue_Ayaya (Official Video)


Watch Here

Video: Ali Kiba_Chekecha Cheketua (Official Video)


Watch Here

Download: Qstar ft Baraka Da Prince_Nimekosa


Download

Video: Riz Conc ft Juma Nature_Sidanganyiki (Official Video)


Watch Here

Download_Galatone_Sina Mali


Download

Download: Navio X Mr. Blue_Ayaya


Download