Pages

Subscribe:

Saturday, June 4, 2016

GIGY MONEY: NAY WA MITEGO ANAIMBA HIP HOP KAMA TAARABU

Video vixen machachari, Gigy Money amedai ni muda wa rapper Nay wa Mitego kubadilika kwasababu anachokisikia kwenye nyimbo zake ni taarab na sio hip hop ya ukweli.

Gigy ambaye hapo awali amewahi kuzinguana na hitmaker huyo wa ‘Nasaka Pesa’ baada ya kutumika kwenye video ya Shika Adabu Yako ya rapper huyo na kutolipwa ujira wake, amemuambia mtangazaji wa Jembe FM ya Mwanza, JJ kuwa hip hop ya Nay imejaa...

MAMBO YALIYOONEKANA BAADA YA MAVOKO KUSAINIWA NA WCB

Jana ilikuwa siku kubwa kwa label ya WCB inayomilika na Diamond Platnumz. Kwa mara ya kwanza ilifanikiwa kumsainisha msanii mkubwa anayesifika kwa utunzi na uimbaji wa hali ya juu. Kwa kumsajili Rich Mavoko, WCB ilikuwa kama vile timu ya soka inapomsajili mchezaji maarufu na tena kwa dau kubwa.

Mavoko ameungana na Diamond mwenyewe pamoja na wasanii waliosainishwa awali, Harmonize na Raymond. Pia katika utambulisho wa label hiyo ulioendana sambamba na kumtangaza Mavoko kama msanii wake mpya, Queen Darleen, dada yake Diamond naye...

BONDIA MOHAMMAD ALI AFARIKI DUNIA

Muhammad Ali has died aged 74 after a 32-year battle with Parkinson's disease.
The legendary boxer - widely regarded as the best of all time - died with his family at his side on Friday evening, a day after he was rushed to hospital with difficulty breathing.

'After a 32-year battle with Parkinson's disease, Muhammad Ali has passed away at the age of 74. The three-time World Heavyweight Champion boxer died this...

Wednesday, June 1, 2016

HADITHI: NYUMA YA MACHOZI 02

MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
Deusi aliipokea glasi na kuyanywa maji yote kwa mkupuo kisha aliiweka glasi juu ya meza. “Deusi.”
“Naam mkuu.”
“Kwanza pole sana.”
“Sijapoa mkuu.” “Kuna siri gani kati yako na mkeo?”
SASA ENDELEA...

“Kwa kweli sijui hata kitu kimoja, ni mwezi wa pili sasa, mke wangu ameujeruhi moyo wangu kwa kukosa uaminifu wa kubeba ujauzito usio kuwa wangu.”
“Mkeo ulimuoa kwa mapenzi yake au kwa kulazimishwa?” “Kwa kweli mke wangu nilichaguliwa na...

Download: Gelly Wa Rhymes ft Barakah Da Prince_Nisubiri


Download

Download: Bingwa_We Mbaya


Download

Download: Chris The Don ft Akida_Weka Mbali Na Watoto


Download

Download: Lon_Hustling


Download

Download: G nako ft Nikki Wa II x ChinBees_Arosto


Download

Watch & Download: Jay One_Rudi [Official Video]


Watch Here