Pages

Subscribe:

Monday, October 2, 2017

TAZAMA: WIMBO HALLELUJAH WA DIAMOND UKITAMBULISHWA RADIO YA MAREKANI


Thank you @dizzimonline

AT alisema hakuna wimbo wowote wa mtanzania unaopigwa radio za marekani na kudai kuwa wasanii wa bongo wanatuongopea ila wimbo huu wa Diamond umemuumbua kwa kuonekana ukipigwa moja kati ya Radio zilizopo nchini humo.

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz Halellujah umeendelea kujiwekea historia baada ya kuwa wimbo wa kwanza Afrika Mashariki kufikisha views zaidi ya milion moja ndani ya saa 15 sasa waendelea kufanya vizuri pia sehemu mbali mbali ikiwemo kutambulishwa...

SASA UNAWEZA KUMPIGIA KURA MTANZANIA UNAYE MPENDA TUZO ZA AFRIMA HAPA



Tuweke mbali ushabiki sasa ni wakati wa kuinua sanaa ya nchi yetu unaweza kumpigia kura Nandy na Jaydee tuzo za Afrima hapa. 

Jinsi ya kupiga kura shuka hapa chini palipo andikwa vote kisha nenda kwenye picha ya Nandy, Jaydee, Vanessa Mdee au Feza chini ya picha yake kuna neno vote bofya hapo utakuwa umefanikisha kupiga kura.

VOTE 

MSANII GANI KUTOKA AFRIKA ATAKAYE VUNJA REKODI HII YA WIZKID NCHINI ENGLAND

Muimbaji kutokea Nigeria Wizkid anayefanya vizuri na hit single ya wimbo wake Come Closer aliyomshirikisha msanii wa Marekani Drake, ameingia katika historia mpya kwa kuiwekea heshima Afrika baada ya kuweka rekodi England.

Wizkid akiwa katika show nchini England katika jiji la London ameandika historia mpya ya kuwa msanii wa kwanza wa Afrika kuwahi kufanya show Royal Albert Hall na kufanikiwa...

WITNESS: HAKUNA MWANAUME ANAYETAKA MWANAMKE ASIYE TULIA

Msanii ambaye ni Raper wa kike kwenye game ya bongofleva, Witness, amewajia juu watu ambao huwatoa kasoro wenzao mitandaoni hususan wanawake, huku akionesha kushangazwa na wao kutopata ndoa kwa uzuri walionao.

Kwenye ukurasa wake wa instagram Witnes ameandika ujumbe akisema kuwa watu wanaofanya hivyo hawana hofu ya Mungu aliyeymba, lakini kinachoshangaza wao...

MTANGAZAJI WA EFM DENNIS KUZIKWA SIKU YA KESHO

Mazishi ya aliyekuwa mtangazaji wa Efm radio ya jijini Dar es salaam, Dennis David Rupia, yanatarajiwa kufanyika Jumanne ya tarehe 3 Oktoba 2017, nyumbani kwao mkoani Morogoro.

Ratiba inaonyesha ibada ya kuaga mwili wa marehemu Dennis itafanyika katika kanisa katoliki Mwenge siku ya juma tatu tarehe 2 Oktoba, na kisha safari ya kuelekea Ifakara mkoani Morogoro itaanza kwa...

SHOLO MWAMBA: SIWEZI KUWALEA YOUNG DEE NA DOGO JANJA


Ukiwahona hawa jama ujue kuna kitu Wana taka kukinukisha
Msanii wa muziki wa singeli bongo ambaye anaendelea kupeperusha bendera vyema kwenye muziki huo, Sholo Mwamba, amesema kilichomfanya aondoke kwa bosi wake 'Muna Love' ni kitendo chake cha kutumia pesa hovyo wanazotafuta kwa nguvu na 'viben ten'. 

Sholo Mwamba amesema alikuwa anakwazika sana kitendo cha wao kwenda kufanya show mikoani na kuleta pesa kwa bosi, na matokeo yake yeye pesa anatumia na wanaume wengine ambao ni...

PROF JAY: KUBOMOLEWA NYUMBA YANGU NI CHANGAMOTO TU YA MAISHA


Mbunge wa Mikumi Mjini, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay amekubwa na zoezi la bomoa bomoa linaloendelea maeneo ya Kimara, jijini Dar es salaam kwa kuvunjiwa nyumba yake huku akieleza kuwa uvunjaji huo haukufuata sheria.

Professor Jay akithibitisha taarifa hizo kupitia kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii alisema zoezi hilo limefanyika wakati yeye akiwa jimboni kwake na mbaya zaidi hakupewa taarifa na...

DJ KUTOKA SOUTH AFRICA BLACK COFFEE AJA NA MPYA HII


Dj kutoka South Afrika, @realblackcoffee atangaza ujio wa body spray yake mpya ya Black by BlackCoffee #axe

Taarifa hiyo ametusanua nayo kwenye kurasa zake za mitandaoni, deodorant pia inatajwa kuwa ni limited Edition
#officialsocialbuzz

Dj Maarufu kutoka nchini Afrika Kusini ambaye amejibebea umaarufu mkubwa kwa kubeba tuzo ya BET na uwezo wake wa kuproduce Muziki, Black Coffee atangaza kuja na brand yake ya Body Spray ambayo ameshirikiana na Axe.

Tumeshuhudia msanii wetu kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuja na product kama hiyo, Good Newz ni kwamba Black Coffee ameshirikiana na...

STORY: NILILALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI 21

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (21)
Ilipo ishia...

Tulifika chumbani. Chumba kilihuzunika na hakikuvutia hata kidogo. Vitu havikukaa katika mpangilio. Nguo zilizagaa chini, nazo suruali zilitumbukia katika masufuria makubwa yaliyobaki mchuzi. Mlikuwa na vitanda viwili, kitanda kikubwa na kitanda kidogo.

Endelea Nayo 

Sunday, October 1, 2017

MIAKA MITANO JELA UKIKUTWA NA HATIA YA KUMTESA MNYAMA

Sheria mpya England imeanza kufanya kazi kuwatia hatiani watu wenye tabia ya kutesa wanyama kwa kuwapa kifungo cha hadi miaka mitano gerezani.

Hapo awali makosa ya utesaji wanyama yalikuwa yakitolewa adhabu ya kifungo cha miezi sita au faini pekee lakini kupitia ushawishi wa mwanasiasa wa Uhifadhi pamoja na Waziri wa Mazingira nchini humo Michael Gove sheria hiyo...