skip to main |
skip to sidebar
Hatimaye Zari The Bosslady ameamua kumjibu ex wake Ivan na swahiba wake
King Lawrenc ambao wamekuwa wakimtupia madongo kuwa mtoto wake Tiffah si
wa Diamond, ni wao. King Lawrence alienda mbali zaidi kwa kutumia kampuni ya wanasheria
kumtaka achukue vipimo vya DNA vya kichanga hicho chenye zaidi ya
followers 80k kwenye Instagram.
Zari ametumia Instagram kuwajibu kwa kudai kuwa wanachofanya wawili hao ni visasi ambavyo anaamini...
Kama unaitafuta akaunti ya Instagram ya Fid Q kuanzia jana bila mafanikio
basi fahamu kuwa hackers wameitaifisha, kufuta picha zake zote na kuigeuza
kuwa ya Wema Sepetu.
Akaunti hiyo ina followers zaidi 160,000.
“Account hii imekuwa hacked jana usiku ila mimi nimegundua leo asubuhi,”
Fid ameiambia Clouds FM.
“Niligundua baada ya...
Diamond Platnumz amesema Zari hajawahi kuolewa na kwamba hadi sasa
hajapokea barua yoyote kutoka mahakamani ikimtaka kuchukua vipimo vya
DNA vya mtoto wake, Tiffah. Kwa mujibu wa Diamond, barua iliyowekwa kwenye akaunti ya King Lawrenc
ni moja ya njia ya...
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana. Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya
Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano
ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.
Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya...
Imevuja! Gumzo la ndoa ya staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo
‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ inadaiwa kupigwa
zengwe kama ilivyowahi kutokea kwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
kufuatia madai ya mwanadada huyo kumtambulisha jamaa huyo kwao kisha
kukataliwa...
Yamekuwa hayo? Aliyewahi kuwa mwandani wa staa wa Bongo Fleva Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’, Penniel Mwingilwa `DVJ Penny’ amegoma kuulizwa
chochote kuhusu kitendo cha zilipendwa wake huyo kupata mtoto wakati
yeye alidaiwa kukataa kumzalia.
Akizungumza wikiendi iliyopita, Penny alifunguka
kwamba, haoni kama kuna sababu ya kumzungumzia Diamond na mtoto wake
(Tiffah) kwani...
Kazi ipo mwaka huu! Ndugu wa mzazi mwenzake na Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamempa zawadi mtoto wa
mastaa hao, Latiffah Nasibu ‘Princess Tiffah’ ndinga aina ya Mercedes
Benz MSL Benz lenye thamani ya dola 100,000 (zaidi Sh. milioni 200).
Habari za uhakika kutoka ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba,
ishu hiyo ilijiri juzikati mara tu baada ya Zari ambapo baadhi ya ndugu
wa mwanamama huyo walichanga na kumletea Tiffah gari hilo ili...