Pages

Subscribe:

Wednesday, May 4, 2016

HII NDIYO SABABU YA KIFO CHA AFENI SHAKUR MAMA MZAZI WA TUPAC

Mama mzazi wa legendary rapa Tupac Shakur amefariki dunia akiwa na miaka 69,Kifo cha Afeni Shakur kimethibitishwa May 3 na taarifa zilitolewa na Polisi wa Marin County mjini California.Ujumbe wa polisi unasema Mama yake Tupac amefariki usiku wa May 2.

KRON wameripoti kuwa alipatwa na mshtuko wa moyo nyumbani kwake San Francisco na kupelekwa hospitalini mida ya  9:45 p.m. nakutangazwa amefariki mida ya 10:30 p.m. Afeni Shakur alikuwa kwenye harakati za...

WOLPER ATOA SURPRISE YA AINA YAKE KWA KUPOST PICHA AKIWA MJAMZITO

Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Jack Wolper atupe somo la mapenzi kipindi hichi cha baridi leo amewapa Surprise Mashabiki Wake Kwa Picha Hizi za Ujauzito , Jack Wolper inasemekana kwa sasa yupo South Africa na Mkongo Man. Tazama Picha hapa...

URUSI YAPANGA KUWEKEZA MITAMBO YA NUCLEAR NCHINI TANZANIA

Makampuni makubwa ya Viwanda na uzalishaji ya Kirusi ya "Russian Helicopters", "United Aircraft Corporation (UAC)" na "United Wagon Company (UWC)" yako tayari kuwekeza kwenye miradi ya viwanda nchini Tanzania. Waziri wa viwanda wa Urusi amesema Urusi iko tayari kujenga nuclear reactor nchini Tanzania kwa ajili ya...

Tuesday, May 3, 2016

DIAMOND AJIBU SHUTUMA ZA KUTOKA NA MREMBO LYYN

Diamond Ameamua Kuwakata watu vidomo wanaosema kuwa yeye na Zari kwa sasa hakuna mawasiliano mazuri kisa mrembo aliyecheza kwenye video mpya ya Rayvan. Sasa aamua kujibu kwa kumpost Zari kwenye page yake ya Instagram.
Tetesi za Diamond kutoka na msichana huyo zimekuwa...

Download: Bonge la Nyau ft Q Chief_Aza Mtoto Wa Kariakoo


Download

LULU: MASTAA BONGO MTAISHIA KUCHAMBANA INSTA

ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na kutuma picha kwenye mitandao ya kijamii badala yake...

PICHA YA ZARI NA IVAN YAZUA UTATA HUKO INSTAGRAM

Huku Instagram picha hizo mbili zimekuwa gumzo leo baada ya Mama mtoto wa Diamond kwasasa Zari Hassan na aliyekuwa mumewe Ivan Kuonekana wamepiga picha sehemu moja inayofanana kwenye sehemu ya kuogelea. 

Picha hizi zimeleta wasiwasi kuwa huenda wawili hao walikuwa pamoja wakiogelea huku wengine wakimtetea Zari na kusema kuwa yeye alikuwa hiyo sehemu...

Sunday, May 1, 2016

Download: Barakah Da Prince X Ben Pol ft Mr Blue_Mwambie


Download

Download: Chibwa Wa Tanchy ft Elephant Man_DanceHall Digital


Download

DOGO JANJA: TUWAOMBEE DIAMOND NA ALIKIBA


diamond83
Msanii Dogo janja amewataka watu kuwaombea wasanii Alikiba na Diamond, ili waendelee kuiwakilisha Tanzania vyema kimataifa kama wanavyofanya. Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akichati na mashabiki wake, alipotoa fursa hiyo kwa wale wanaomfuata kwenye mtandao wa instagram na kujibu moja ya swali la shabiki alipouliza ni msanii yupi kati ya hao anamkubali zaidi.

“Wote nawakubali na tuwaombee wazidi kututangaza zaidi sababu wana ‘Fan Base kubwa’, aliandika Dogo Janja. Pia Dogo Janja amesema muziki umemfikisha mbali kutoka kuwa...