ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’
amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao
wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate
nyadhifa serikalini.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba,
amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake
waache kuchambana na kutuma picha kwenye mitandao ya kijamii badala yake...
watafute njia ya kujikwamua kielimu.
0 comments:
Post a Comment