skip to main |
skip to sidebar
Msimamizi mkuu wa Lebo ya WCB Wasafi na aliyesaini mkataba na Universal Music Group ya nchini marekani Diamond Platnumz licha ya kuwa katika sakata zito na msanii mwenzio Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz anatuchana kitu anachojivunia katika maisha yake hasa katika mziki wake wa hapa bongo na mafanikio pia maneno ya Diamond kwa anachojivunia tangu aingie kwenye muziki wa bongo.
"kitu
ambacho namshukuru Mungu ni muziki wetu unatamba sana hapa bongo na
Afrika nzima tofauti na miaka ya nyuma. mimi mwanzo niliangaika sana ili
tu kupata nafasi ya...
Baada ya takriban miaka minne ya uadui mkubwa, Lady Jaydee ametangaza
kuwa hana tatizo tena na Clouds Media Group. Uamuzi huo umekuja baada ya
Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba kudai kuwa
wapo tayari kuanza kucheza nyimbo za muimbaji huyo mkongwe iwapo atawapa
ruhusa.
Jaydee alisema uongozi wake ndio utakaokuja na maamuzi kufuatia ofa
ya Ruge. “Kama kuna kauli yoyote ambayo itatakiwa kutoka, management
itatoa kauli hiyo ya nini kitafuata.” Na Jumatano hii kupitia kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, uongozi
wa Lady Jaydee ulitoa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema ataandaa show ya
kuwashindanisha kuimba live kati ya waimbaji wawili mahiri, Christian
Bella na Banana Zoro na mshindi mmoja kati yao ataondoka na kitita cha
tsh milioni 50.
Amesema hayo katika hafla fupi ya kuwashukuru watumishi wa serikali
ya mkoa wa Dar es salaam pamoja na wadau mbalimbali walioshiriki katika
ziara yake ya siku kumi ya kusikiliza...
Hitmaker wa ngoma ya Migulu pande, namzungumzia Madee kutoka TipTop Connection ameamua kufunguka juu ya kolabo yake na Tekno ambayo aliahidi kuitoa muda mrefu.
Akiongea, Madee aliamua kuweka wazi kuhusu kolabo yake yeye na Tekno mambo ambayo
yamefanya kuchelewa kwa kolabo hiyo, baada waya kumnasa Madee
akafunguka na kusema kwamba jambo kubwa ambalo lilikwamisha ngoma hiyo
ni...
Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa katika mitandao ya kijamii
kwamba havai nguo ya ndani, mrembo huyo amesema ni kweli havai na ni
maisha anayopenda kuishi. Akiongea Jumamosi hii, Gigy Money amesema anajisikia vizuri
akivaa nguo bila kufuli kwani anajiona yupo huru zaidi.
“Hata hapa
nilipo sijavaa chu*i na nikweli sipendi kuvaa chu*i ila napenda kuvaa
chu*i yenyewe bila kuvaa nguo juu yake,” alisema Gigy Money.
“Chu*i nayo ni nguo na ni vazi la ndani, nivae ch*i nisivae hayo
hayawahusu, hapa nilipo sijavaa chu*i. kwanza chu*i inaharibu...
Ziara ya muimbaji wa Marekani, Neyo na Diamond iliyokuwa
ifanyike mwezi Disemba mwaka huu imesogezwa mbele hadi mwezi wa tatu
mwakani, Kwa sasa ziara hiyo itaanza Machi 29 na kufikia mwisho April 8 ya mwakani.
Kupitia Instagram Neyo ameandika.
“The December dates have been
postponed! But don’t worry U.K. I’m still headed your way with NEW DATES
and my bro @diamondplatnumz. 2017, let’s...
Na
mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za
kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa
na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.
BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo...