skip to main |
skip to sidebar
BARAKA THE PRINCE AMSAINI LORD EYES KWENYE LEBO YAKE
Na
mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za
kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa
na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.
BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo... Rapper Lord Eyes
0 comments:
Post a Comment