Pages

Subscribe:

Sunday, December 18, 2016

MAKAMUA AWEKA WAZI SABABU YA WAKALI KWANZA KUACHANA NA MJ

15056627_727382904081831_796170354086117376_n
Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye ni mkali kwenye miondoko ya RnB kutoka Wakali Kwanza, Makamua, leo ameweka wazi sababu ya wao kuachana na MJ Records na watu waliowatoa kwenye game.

Akipiga story ndani ya EATV, Makamua amesema wao kama wakali kwanza hawakuwa na mgogoro wowote na Mj Records na viongozi wao, lakini...
iliwapasa wasibakie Mj Records.

Hata hivyo kundi hilo limetangaza kurudi tena kwenye game, huku wakiwa na uongozi ule ule wa zamani wa Marco Chali na Mj Records.

0 comments:

Post a Comment