Pages

Subscribe:

Tuesday, December 13, 2016

DIMOND AANZA UJENZI WA NYUMBA YA IBADA


Alhamdulillaa nashkuru mungu kwakumuongaza mwanangu kujenga nyumba ya ibada..ewe mwenyezi mungu mjalie kheri zaidi aweze kujenge zaidi ya hii..INSHA ALLAAH

Licha ya mafanikio makubwa aliyo yapata kwenye kazi yake ya muziki. Msanii anaeipeperusha vyema bendera ya nchi yetu Diamond Platnumz amefanya jambo jipya kwenye maisha yake.

Kupitia ukurasa wa Istagram wa kendrah_michael  amabe ni mama mzazi wa Diamond Platnumz, ametuonyesha hatua za ujenzi wa nyumba hiyo ya ibada inayojengwa na Diamond platnumz. Smashkilimanjaro inakusohezea nukuu ya...
meneno yaliyo andikwa na mzazi wake Diamond kupitia instagram.

“Alhamdulillaa nashkuru mungu kwakumuongoza mwanangu kujenga nyumba ya ibada..ewe mwenyezi mungu mjalie kheri zaidi aweze kujenga zaidi ya hii..INSHA ALLAAH.”

0 comments:

Post a Comment