Pages

Subscribe:

Friday, December 23, 2016

VANESSA MDEE: WIMBO WANGU NA BARNABA NTAUACHIA MWAKANI



Vanessa Mdee amethibitisha kufanya wimbo mwingine na Barnaba ambao utatoka mwakani. Hitmaker huyo wa Cash Madame ambaye aliwahi kufanya wimbo wa ‘Siri’ na msanii huyo ambao ulitoka mwaka jana amesema kupitia mtandao wa Instagram kuwa wimbo huo ni moto hatari.

Kupitia mtandao huo, Vanessa ameandika...

GENIUS @barnabaclassic mkisikia kitu tumewa andalia kwa ajili ya 2017 uwiii MoTO MOTO MOTO @barnabaclassic

0 comments:

Post a Comment