Pages

Subscribe:

Saturday, December 31, 2016

KIDOGO YA DIAMOND YATWAA WIMBO BORA WA MWAKA HUKO AUSTRALIA


maxresdefault-2-950x720
Diamond Platnumz amekuwa na mwaka  mzuri sana kwani karibia nyimbo zake zote alizotoa kwa mwaka huu zimeweza kupokelewa vizuri sana mbali tu ya kupokelewa vizuri lakini pia amekwara tuzo kibao kupitia kazi zake. 

Mwezi uliopita kituo maarufu cha Radio nchini Australia cha RADIO AFRO AUSTRALIA kiliandaa tuzo za kutafuta nyimbo zilizofanya vizuri kwenye mabara tofauti tofauti na kwenye kipengele cha wasanii waliongiza...
nyimbo kutoka Bara la Afrika ni Diamond Platnumz kupitia wimbo wake wa Kidogo aliowashirikisha P Square kutoka Nigeria.

Sasa Good News ni kwamba wimbo huo umefanikiwa kuchukua Tuzo ya wimbo bora kwa mwaka 2016 huko Australia. Kupitia mtandao wa Twitter kituo hicho cha Radio kimeandika “#1 radioAFRO Australia Song of the Year 2016 with  

Kwenye kipengele hicho, ‘kidogo’ ya Diamond ilikuwa inashinda na ngoma kama FINAL (Baba Nla) ya WizKid, B.A.D. ya Tiwa Savage, Pana ya Tekno, Soweto Baby ya DJ Maphorisa + DJ Buckz + Wizkid na nyingine nyingi.

0 comments:

Post a Comment