Pages

Subscribe:

Saturday, December 10, 2016

NAVY KENZO WAACHA HISTORIA NCHINI KENYA


Baada ya kudondosha show ya kimataifa usiku wa kuamkia leo Wasanii pekee ambao waimeiwakilisha TANZANIA kwenye tuzo kubwa nchini KENYA za PULSE MUSIC VIDEOS AWARD Navy kenzo.

Wamepongezwa na zaidi mashabiki 50 kupitia mtandao wa tweeter kwa performance iliyo washangaza watazamaji waliohudhulia tuzo hizo, Wasanii hawa ambao pia ndio walikuwa wasanii pekee wa...
kimataifa kutoka Tanzania waliozipamba tuzo hizo na kupewa heshima kubwa ya kuperform kwenye show ya Pulse Music Video Awards ambazo ndio awards kubwa Nairobi.na kenya kwa ujumla.
 
Ambazo zimefanyika usiku wa Alhamisi 8 kuamkia leo. Katk ukumbi wa serena NAIROBI

0 comments:

Post a Comment