Pages

Subscribe:

Thursday, December 29, 2016

MUZIKI YA DARASA YAKAMATA NAMBA MOJA KWENYE TRACE TV



Video ya wimbo wa Darassa, ‘Muziki’, imeshika namba moja kwenye chati za kituo cha runinga cha Trace TV kwenye Top 10 ya nyimbo za Hip Hop.

Hatua hiyo imekuja baada ya kujiwekea rekodi zake kadhaa ikiwemo kufikisha views milioni moja ndani ya wiki mbili kitu ambacho hakijawahi kutokea kwenye maisha yake ya muziki., Kwa sasa wimbo huo umeshatazamwa zaidi ya...
mara 2.5 milioni kwenye mtandao huo.
 
Hii ni hatua kubwa kwa Darassa ambaye kwa sasa wimbo wake huo umekuwa kama wimbo wa taifa na kila siku unazidi kufanya vizuri.

0 comments:

Post a Comment