Pages

Subscribe:

Tuesday, December 13, 2016

OMMY DIMPOZ AMUWEKA MPENZI WAKE HADHARANI

Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa Ommy Dimpoz hapigi mechi na pia hawamjui shemeji.

Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja, hata hivyo picha hiyo ilikuwa na emoji zenye ishara ya malovee lakini kitu kilichoshangaza wengi ni Ommy kublock... comment katika picha hiyo, yani picha hiyo huwezi ku comment

0 comments:

Post a Comment