Pages

Subscribe:

Saturday, December 10, 2016

RAYVANNY NA DJ MAPHORISA WAINGIA STUDIO KUREKODI


Exclusive kutoka South Africa kwa mzee Madiba tumezinyaka hizi za mkali kutoka katika lebo ya WCB Wasafi yenye makazi yake Sinza jijini Dar es Salaam Raymond (Rayvanny) kuwa yuko studio na mkali aliyezikwarua tuzo kadhaa kubwa za muziki barani Africa mwaka huu kupitia wimbo wake wa “Soweto Baby” Dj Maphorisa.

Kutoka katika vinywa vya wakali hao wote wawili wamelithibitisha hilo kwa kufunguka kuwa... wanatengeneza kitu.

0 comments:

Post a Comment