Pages

Subscribe:

Tuesday, December 20, 2016

BELLE 9 AFUNGUKA HAYA JUU YA TUHUMA KUWA KAMCOPY DIAMOND


Hitmaker wa ngoma ya ‘Give it to me’ mkali toka pande za  mji kasoro bahari Belle 9  ambapo amemshirikisha G Nako, msanii huyo amedropisha ngoma yake siku ya jana kwenye kipindi cha XXL ya Clouds FM.

Ukiisikiliza ngoma ya salome aliyoitoa Diamond Pltnumz alafu ukichukua nyimbo ya taifa ya sasa ya mtu mzima Darassa ukionganisha na Give it to me ya Belle 9 , utagundua kuwa nyimbo zote...
zinatembea kwenye chaki moja ya Saida karoli.

smashkilimanjaro imepiga story na Belle 9 na kufunguka sababu za ngoma yake kufanana na ngoma ya salome y Diamond  Platnumz huku akikanusha vikali kumuiga msanii huyo.

Sio kweli kwasababu mimi nimesample nyimbo ya salome kwenye njia nyingine kabisa na hizo zilizofanyika, pia nyimbo yagu nimeifanya kabla ya ngoma ya Salome ya Diamond platnumz. Mimi na G Nako ni washikaji wa muda mrefu so tulikutana tukafanya jambo.” Alisema hayo Belle 9.

0 comments:

Post a Comment