Pages

Subscribe:

Saturday, December 10, 2016

CAPTION YA ALIKIBA YAACHA KITENDAWILI KWA MASHABIKI


ukiacha ile hashtag ya #sometimes, Alikiba Kawaacha Na Shauku Mashabiki Wake Kwa caption Yake aliyoiandika kwenye ukurasa wake wa instagram GET READY

Bado hatujui mkali huyo wa mdundo wa kajiandae na aje anataka kuja na kitu gani,
Alikiba amewaacha njia panda mashabiki wakijiuliza endapo hilo ndio jina la wimbo mpya? Au ile ya zamani? Au ile ya Navykenzo? Au ile na...
mdogo wake Abdukiba?au Davido? Au ataendeleza kuwatoa artist wake, au labda zile kolabo za ng’ambo? Au ile documentary alioandaa? nani anaejua?

Cha muhimu ni kukaa karibu na smashkilimanjaro kwasababu tuko hapa kuwasogea kila habari mpya ndani na nje ya bongo, swali ni je ataleta balaa gan? kama ambavyo caption yake inavyosomeka hapa.

0 comments:

Post a Comment