Pages

Subscribe:

Thursday, December 29, 2016

DIAMOND, ALIKIBA, HARMONIZE NA NAVY KENZO WASHINDA TUZO HII


Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa  wakilishi wetu kujinyakulia tuzo huko Ghana.

Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa...
mwaka 2016.
c0yqzpcxaaacrlt
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.
screen-shot-2016-12-29-at-4-37-16-am
Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016,  kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.
screen-shot-2016-12-29-at-4-34-26-am
Hii ni Orodha kamili ya washindi waliotangazwa
Best Newcomer Video of the Year Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)
Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana

Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria

Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali

Best African RnB Video Alikiba (Aje) Tanzania
Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi

Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea

Best African Collabo Video Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania
Best African group Video Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania
Best African Male Video Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania
Best African Female Video Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal
Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire

Best International Video
Beyonce – Formation (USA)

Best East African Video Alikiba (Aje) Tanzania
Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo

Best North Africa
Ibtissam Tiskat

Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready)

West Africa Video
DJ Arafat

Best African Video Director Godfather Kidogo (Nigeria)
Best African Music of the Year Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania
Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria

Viewer’s Choice Awards
Designer Panda (USA)

0 comments:

Post a Comment