Pages

Subscribe:

Tuesday, December 20, 2016

BARAKA DA PRINCE AUMBUKA STUDIO BAADA YA KUIBA WIMBO WA MTU

Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio.

Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa...

hiyo nyimbo sio ya kwake. Tazama kilicho tokea hapa kwenye video

Watch Here

0 comments:

Post a Comment