Pages

Subscribe:

Tuesday, December 13, 2016

AMBER LULU: NITAKUWA MAMA BORA KWA MTOTO WA YOUNG DEE


Tammy wetu 😍😍💪💪💪💪
Nakulea mwenywe mom nakupromise ntakuwa mom mdogo bora kabsaa watashangaa

Ikiwa bado story ya Young D kupata mtoto ikitrend na wengi wakihoji na kujipa maswali juu ya mahusiano ya rapper huyo na mpenzi wake Tunda,mengine mengi yanaendelea kuibuka.

Story inazidi kua kubwa pale Amber Lulu,video vixen aliekua mpenzi wa Young D kujitokeza hadharani na kuthibitisha atamlea mtoto wa Young D kama mwanae, Amber Lulu kadai kua atakua...
mama bora kwa mtoto huyo ambaye yeye anamuita mama mdogo.

Mpaka sasa Tunda hajatoa tamko lolote juu ya kinachoendelea mitandaoni ukizingatia ndio kwanza wametoka kurudiana juzi juzi.

Story za kuwepo kwa mahusiano kati ya Amber na Young D ziliwahi kuvuma ingawa wawili hao wanasema walikua marafiki tu ingawa walikua wakishiriki mapenzi.
Amber Lulu amewahi kunukuliwa kwenye you heard ya Soudy Brown kwamba yeye na Young D ni washkaji wamesaidiana mambo mengi lakini wamekua wakishiriki mapenzi.

Tusubiri tuone utekelezaji wa Amber katika kumlea Tammal kama alivyoeleza kwenye ukurasa wake wa instagram

With mom tammy
#watakoma
@official_mamisa

0 comments:

Post a Comment