Aliyenusurika katika
shambulizi la kigaidi la Septemba 11 mwaka 2001 ni miongoni mwa watu 14
waliouawa na magaidi kwenye jengo lenye hoteli ya Dusit 2, Riverside
jijini Nairobi nchini Kenya.
Kijana
huyo Mfanyabiashara raia wa Marekani, anajulikana kwa jina la Jason
Spindler ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya I-Dev
International, alinusurika katika shambulizi lililofanywa na...
Mwanamuziki Ali Kiba amefiwa na baba yake Saleh Kiba leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa takribani siku 21. Akithibisha
taarifa ya kifo hicho, Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa Ali Kiba alisema ni
kweli baba yao amefariki na msiba upo nyumbani kwao Kariakoo Mtaa wa
Muheza.
Muimbaji R Kelly
amechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni hii ni
baada ya tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wanawake kumuandama lakini
tuhuma hizo hazijamzuia kupata shows mbalimbali zenye gharama ya juu.
Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kuwa R Kelly ana mpango wa kufanya show Mjini Ludwigsburg nchini Ujerumani mwezi April mwaka huu 2019
ambapo unaambiwa mauzo ya tiketi yanatajwa kufikia gharama zaidi ya
shillingi laki mbili za Kitanzania pia kwa shabiki atakayetaka
kusalimiana naye itabidi alipe...