skip to main |
skip to sidebar
Kampuni ya Coca Cola wameamua kutoa fursa kwa kuweza kuandika majina ya watu kwenye soda na kuwesha kushea na wengine. Hii ndiyo list ya wasanii kutoka jijini mbeya walioweza kushea Coca na Fans zao. See More inside...
Paula Kajala Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku
nikakutana na hii ya picha za mtoto wa kajala na Producer wa Bongo
Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni...
Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper”
toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali mtandaoni zenye maneno
mazito ambayo yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada
huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine
wakamini kuwa hizi ni jumbe za...
Ki ukweli Jamani Zari ni Mzuri wa sura , yeye kama yeye ni kifaa cha aina
yake kubali ukatae, kwenye hiyo picha hapo juu embu ona alivyofanana na Kim
Kardashian , yaani ni Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian
jinsi wanavyopendeza.
Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi na Zari wanazidi ku make headlines
kwa ku share mapenzi yao katika mitandao ya kijamii kwa matukio tofauti
tofauti tofauti..
Jana katika page ya instagram msanii Diamond ali post video akiwa amevaa
taulo ali post video aliyokua akiimba...