skip to main |
skip to sidebar
MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Jimmy ukiifanya kazi kwa ufanisi nitakupa laki mbili.” “Utani huo sister!”
“Sina utani kwa jambo nitakalo kuahidi.”
“Sawa, wacha nikuache uendelee na mambo mengine.”
Jimmy aliondoka na kumuacha Kilole akitengeneza nyumba kwa ajili ya
sherehe ya kutengeneza ya birhtday yake. Sebule aliipamba na kupambika
ikawa katika muonekana wa kupendeza.
SASA ENDELEA...
*******
Majira ya saa mbili usiku kila kitu kilikuwa kimepangwa sehemu yake,
Kinape na mpenzi wake nao walikuwepo kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa
Kilole.
Ilikuwa sherehe iliyozuka kama uyoga, ule ulikuwa mpango...
Watanzania Diamond Platnumz na Millen Magese ni moja ya
mastaa walipoendeza zaidi kwenye Red carpet ya tuzo za BET 2016
zilizofanyika usiku wa jana huko Los Angeles Marekani. Tazama hapa...
Msanii wa Hip Hop, Nay wa Mitego amepanga kuwatambulisha
rasmi wasanii ambao anawasimamia chini ya label yake ya ‘Free Nation
966′. Nay wa Mitego ambaye amedai kuwa yeye ndio msanii wa kwanza kabisa
kuanza kuwasimamia wasanii wengine alifunguka hivi karibuni kuwa...
Baada ya Chile kutwaa taji la Copa America kwenye mchezo wa
alfajiri ya ya kuamkia Jumatatu ya June 27 kwa kuifunga Argentina kwa
changamoto ya mikwaju ya penati huku nahodha na mfungaji bora wa muda
wote wa Argentina Lionel Messi akikosa penati ikiwa ni mara ya pili
ndani ya miaka miwili mfululizo.
Argentna ikipoteza mchezo wa fainali ya
Copa America mbele ya Chile ‘La Roja’,hatimae mshambualiaji huyo wa
Barcelona ameamua kuachana na timu yake ya taifa kwa kutangaza...
Beyonce ameonyesha thamani yake kwa kuchukua tuzo tano za BET
zilizofanyika usiku wa Juni 21 kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los
Angeles.
Queen Bey amefanikiwa kuibuka na tuzo hizo ikiwemo ya Best Female
R&B/Pop Artist, Video of the Year, Coca-Cola Viewers Choice Award,
Centric Award huku wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye tuzo hizo ni...
KITUO cha kuvumbua na kuendeleza vipaji vya muziki cha Mkubwa na
Wanawe, kimetoa msaada wa vifaa vya tiba na usafi, dawa za meno, sabuni,
maji na juisi kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Temeke, Dar
es Salaam. Said Fella, alisema wameamua kufanya hivyo kutokana na...
Akiongea kwenye mahojiano hivi karibuni, TID amesema Dully
Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya
wimbo wa confidence.
“Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia,
akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia
tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu
tena usiku, akaanza...
Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali
kuanguka ni kawaida, ila kuamka baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe ambayo
kwa sasa Diamond anafanya kwa kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni bora
zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa Afrika
Kusini.
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku...
Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID
ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo
kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’.
Mapema mwaka huu Billnas aliiambia Bongo5 kuwa aliondoka Rada bila matatizo na mtu yeyote. Akiongea na Clouds Fm, TID amedai Billnass amesahau alikotoka na hatoi...