Pages

Subscribe:

Sunday, November 27, 2016

M-RAP AFUNGUKA SABABU YA KUBADILI STAILI YA KUCHANA


Rapa M-Rap anayetikisa kwenye uga wa Bongo Fleva na ngoma yake mpya aliyoibatiza jina la 'It is not too late' amefunguka sababu za kubadili mtindo wake wa kuchana katika ngoma hiyo, na kusema kuwa amebadilika ili kufuata soko la muziki huo kwa sasa. 

M-Rap ambaye amezoeleka kama rapa zaidi kwa kutengeneza ngoma za kuchana zaidi akifananishwa na ma'rapa' wengine wanaoendana kiumri kama vile Young D na Young Killer, katika ngoma hii mpya ameamua...

JOH MAKINI: TUZO ZA EATV NI BARAKA KWANGU


 
Rapa mkali katika tasnia ya Bongo Fleva Joh Makini, amemwaga furaha yake ya kuwa miongoni mwa wasanii walioingia katika vita ya kuwania tuzo za EATV 2016 kupitia ngoma yake ya Don Bother na kusema kuwa kwake hiyo ni baraka. 

Ngoma hiyo imemuigiza Joh katika tuzo hizo kupitia vipenge viwili ambavyo ni Wimbo Bora wa Mwaka na Video Bora ya Mwaka. Katika katika kipindi cha FNL cha EATV, Mwamba wa Kaskazini amesema  amejisikia furaha na faraja kwa kiasi kikubwa kuona kazi yake inathaminiwa na...

BEN POL AIZUNGUMZIA NYIMBO YA DARASSA "MUZIKI"

Katika hali ya kibiashara katika soko la muziki hili tunaweza kusema limemgeukia mkali wa ngoma kadhaa ambazo zimekuwa hit kwa muda mrefu. Mwanzo Darassa alikuwa anaimba nyimbo ngumu lakini tangu alipoamia kwenye kuchanganya vyombo zaidi amejikuta ndo sehemu aliyokuwa anasubiriwa na mashabiki wengi.

'Muziki' ni ngoma mpya ya Darassa aliyomshirikisha Ben Pol, lakini Ben Pol anaitabiria makubwa zaidi ngoma hii kwa kuifanya kuwa na maudhui flani ya...

NIKKI WA II ATOA USHAURI KWA VIJANA WANAO OGOPA KUINGIA KWENYE NDOA

Kutoka kwa nikkwapili - He he me sio mshauri..wanao ni Dm...kuuliza abt ndoa (marriage) this is what i think kuhusu ndoa baada ya muda wengi huona kama kifungo, kikwazo cha kumkosa msichana yule, au jamaa yule, au bata lile na kadhalika hapa wana miss the point kumbuka ukiwa shule ukaambiwa soma na uachane na mambo kama starehe, movies nakadhalika.

Na leo kitabu kina kunakufaisha na wengi walio babaishwa na mambo mengine wanajuta sasa ni sawa na ndoa, ndoa sio jela ndoa ni taasisi muhimu itakayo kulinda thidi ya tamaa za ngono, starehe, na kukufanya...

WOLPER AVUTA TOYOTA ALPHARD KWA Tsh MILLION 20

Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amenunua gari lenye thamani ya shilingi milioni 20 ambalo kwa sasa anamalizia usajili wake
 

Wolper alionekana mitaa ya Kinondoni jijini Dar akiwa na gari hilo aina ya Toyota Alphard ambapo alipobanwa kama amelikodi kama wanavyofanya mastaa wengine au amenunua alifunguka kuwa ni...

VANESSA MDEE AZUNGUMZIA JINSI TRIGGA ALIVYOMPA KIKI MAREKANI

Msanii wa muziki wa bongo fleva, mwanadada Vanesa Mdee a.k.a Vee Money, amefunguka na kueleza faida alizopata kwa kuwa karibu na nyota wa muziki nchini Marekani Trey Songz.

Akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, Vanessa alitakiwa kueleza faida alizopata kutokana na skendo zilizovuma siku za hivi karibuni kuwa alitoka kimapenzi na Trey Songz kipindi walipokuwa...

Saturday, November 26, 2016

DIAMOND AWATAJA WANAWAKEWALIOMFANYA ATUNGE NYIMBO BAADA YA KUUMIZWA

Watu walizungumza mambo mengi sana baada ya kusikia kuwa Harmonize na Jackline Wolper na uhusiano wa kimapenzi huku walio wengi wakiamini kuwa alikuwa akitafuta kiki tu.  Walioamini hivyo ni kutokana na uhusiano wa kimapenzi ambao uliwahi kuwapo kati ya Diamond Platnumz ambaye sasa ni bosi wa Harmonize na Wolper.

Katika mahojiano haya yaliyofanyika kipindi cha nyuma kati ya Zamaradi Mketema wa Clouds Tv na mwanamuziki Diamond Platnumz, Diamond alikiri kuwa aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wolper na pia aliandika wimbo wa...

Watch & Download: Mafikizolo_Kucheza (Official Video)

Image result for mafikizolo-kucheza

Watch Here

Watch & Download: Azma ft Belle 9_Astara Vaste (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Mwana FA ft Vanessa Mdee_Dume Suruali (Official Video)



Watch Here