Pages

Subscribe:

Monday, May 7, 2018

MITINDO: SOCKS IN SHOES KWA SASA NDIYO HABARI YA MJINI KWA WAKINA DADA



Ni watu wachache sana wanaoweza kuwa na ujasiri wa ku’roll mtaani wakiwa wametinga ‘Socks in Shoes’ karibu katika ulimwengu wa mitindo. 

Kwa sasa fashion ya kuvaa ‘Socks in Shoes’ ndio inafaya poa sana kwa mastaa mbalimbali duniani ila kibongo bongo wapo...
mastaa wachache sana wameshavaa kutupia aina hiyo mpya ya uvaaji wa viatu na socks.





Mtindo huu wa ‘Sock in sHoes’ leo nimelenga sana wadada/wanawake wanapochanganya socks na viatu vyao (Heels) na wana rock kitaa bila presha.
Vile vile vipo viatu vilivyounganishwa na socks moja kwa moja navyo pia huiitwa ‘Sock in Shoes’, na vinapendeza sana.





Muhimu kwa ambaye utapenda kutinga fashion hii hakikisha kuwa unakuwa na socks zinazoendana na rangi ya viatu vyako, pia usivae kama haujiamini ila sio dhambi kujaribu .

0 comments:

Post a Comment