Pages

Subscribe:

Monday, May 7, 2018

NASTY C ANYAKUA TUZO YA THE HEADIES KIPENGELE CHA AFRICAN ARTIST OF THE YEAR



Rapper NastyC wa Afrika Kusini amefanikiwa kushinda Tuzo ya African Artiste Of The Year katika Tuzo kubwa za Nchini Nigeria, THE HEADIES 2018, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo.

Nasty C alikuwa akiwania kipengele hicho na wakali wa Afrika, @Sarkodie x @Casspernyovest x @Sautisol pamoja na Mtanzania pekee kwenye Tuzo hizo...

Vanessa Mdee @Vanessamdee

The other side of the story ni, Davido kuibuka kinara kwa kuondoka na Tuzo 4 zikiwemo: Artist of the Year na Song of the Year. #WizKid ameondoka na Tuzo 3, huku #Simi akinyakua Album of the Year.

0 comments:

Post a Comment