Pages

Subscribe:

Friday, May 25, 2018

NICKI MINAJ ABADILI TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA



Nicki Minaj ameamua kubadilisha ratiba ya kuachia albamu yake mpya. Mapema mwezi huu katika onyesho la mitindo na mavazi Met Gala lililofanyika mjini New York, malkia huyo wa Hip Hop alisema albamu yake itatoka Juni 15 na itaitwa jina la Queen.

Kupiia mtandao wake wa Twitter, Nicki ameonekana kubadili muda wa kuachia albamu hiyo na kupanga kuiachia...
Oktoba 8, 2018.”8|10|18 #Queen,” ameandika Minaj.
Albamu ya mwisho ya Nicki Minaj ilikuwa inaitwa The Pinkprint (2014) ambayo ilifanikiwa kutinga namba moja kwenye chati za Billboard 200.

0 comments:

Post a Comment