Pages

Subscribe:

Tuesday, May 5, 2015

KAULI YA OMMY BAADA YA KUNYIMWA MWALIKO KWENYE PARTY YA ZARI


Ommy Dimpoz alifunguka haya pale alipo kuwa akihojiwa na kituo cha Radio 5 na baada ya kuulizwa kama amealikwa kwenye party hiyo Dimpoz alisema " I'm not invited" Lakini sina tatizo na Diamond hajawahi kunikosea kikubwa ni kwamba amekuwa ni...
mfano kwa wasanii upcoming kwa sababu hata mimi nimemkuta kwenye muziki na ni mmoja ya wanamuziki walikuwa wananivuta hata mimi kuwa achana na mambo ya bendi na kuwa solo artist.

0 comments:

Post a Comment