Pages

Subscribe:

Tuesday, May 5, 2015

HII NDIYO KAULI YA DIAMOND BAADA YA ZARI ALL WHITE PARTY


Ntakuwa mchoyo wa Fadhila nisipo washkuru wasanii Wenzangu walokubali mualiko wangu na kuja kuhudhuria, tena kwa moyo thabiti kabisa wengine Wakaimba, Madj, Watangazaji, Waigizaji, Wadau na Watu maarufu Mbalimbali. Ukweli uwepo wenu ulinifanya nifarijike na kuona ni kiasi gani Kaka na Dada zangu wa Kwenye...
Industry Wananipenda na Kunisupport Mdogo wao
Eeh Mwenyez Mungu baba nakushkuru sana kwa kila Jambo..kwani wewe ndie mpanga na Mpanguaji wa yote... na naamini bila wewe tusingeweza kulifanikisha hili... Niwashkuru pia wadhamini wetu @Cocacola_Africa @mziiki ‪#‎JohnnieWalkerGoldlabel‬ @VodacomTanzania @Huaweitz @Iviewstudios @TheWorksLtd
nk. kwa kutuwezesha kufanikisha Shughuri hii... Vile vile Shukran na Pongezi za dhati ziwafikie CLOUDS MEDIA, Global Publishers na Media zote kwa ujumla kwa kutusupport kwa Moyo Mmoja kwani kiukweli pasipo nguvu za vyombo vyetu vya Habari tusingeweza kufanikisha...Lakini ntakuwa Mchoyo wa Fadhila nisipo washkuru wote waloacha Muda wao wa Thamani na kuja Mliniami City kujumuika nasi, na pia Nyinyi Mlokuwa mkitusaidia kutufanyia matangazo kwa njia ya Mitandao ya Kijamii... Nawashkuru sana sana.... Sisi ni Binadam na sifa ya Binadam ni kuto kukamilika hivyo mnapohisi kama kuna sehem tulitereza ama hakukukamilika tunaomba Mtusamehe Bure.

0 comments:

Post a Comment