Pages

Subscribe:

Saturday, May 30, 2015

WIMBO MPYA WA DIAMOND WAWA GUMZO BARANI AFRICA... UHURU AOMBA KUFANYA REMIX

Diamond ni Star Africa kuliko watanzania tunavyomchukulia wakati Kundi la Uhuru Kutoka Sauzi Afrika wakiomba kufanya Remix ya Wimbo wake Mpya wa Nanaa, Usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria video ya nana ilikuwa gumzo kwenye mitandao... Wabongo sijui kwanin hatupendi vya kwetu siku Diamond Platnumz mungu amemchukua hawa wanao mbeza na kumtukana ndo wanafiki wa kwanza kujifanya kulia hadi kuzimia huku wakimsifia.

0 comments:

Post a Comment