Pages

Subscribe:

Tuesday, May 5, 2015

HII NDIYO POST YA DIAMOND INAYO MHUSU ERIC OMONDI


Kwenye Facebook fan page yake diamond alipost picha akiwa na Eric Omond na kisha akaandika maneno haya My Brother @ericomondi sijui hata nikulipe nini kwa Upendo na...
Support unayozidi kunionyesha. Natamani ungejua ni kias Gani Tanzania Wanakupenda na jinsi gani uliwafurahisha jana.... Nakushkuru sana @ericomondi

0 comments:

Post a Comment