Pages

Subscribe:

Friday, May 1, 2015

AUNT EZEKIEL AWATEGA TEAM WEMA KWA KUTUPIAUJUMBE WA ALL WHITE PARTY


Aunt Ezekiel Awatega Team Wema, Kisa Ujumbe wa Zari-All White Party
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaacha njia panda mashabiki ‘kindaki ndaki’ wa Wema sepetu maarufu kama team Wema baada ya kuweka ‘screenshot’ ya ujumbe wa tangazo la pati ya mwanadada Zari inayofahamika kama Zari All While Party.
Aunt alibandika picha hiyo (hapo juu) na kuandika maneno haya kuonyesha kuwa...
mekelwa na ujumbe huo.
“Voda Voda hivi Voda mnantafuta nini lakini....ya kwanza nimenyamaz ya pili nimewajibu hamsikii hii ya tatu sasa Nawauliza Mnanitaka nini Au mmetumwa???Plz sitaki matatizo na nyinyi”
Bandiko hili lilipelekea mashabiki kugawika kwenye makundi mawili, wapo walio ona kuwa Aunt ameipigia promo pati hiyo huku wengine wakiona Aunt amechukizwa sana ujumbe huo kiasi kwamba ameamua kuwachana LIVE wenye pati wazi wazi.
Baadhi ya watu walienda mbali zaidi na kudai kuwa Aunt amefanya kuipa promo pati hiyo sababu mpenzi wake ‘mosses Iyobo’ ambae ni mcheza shoo wa Diamond atakuwa kibaruani siku hiyo.

0 comments:

Post a Comment