Pages

Subscribe:

Saturday, May 2, 2015

BABA WA DIAMONA ASUMBULIWA NA UGONJWA... LAWAMA ZAMSHUKIA DIAMOND

Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na Ugonjwa wa miguu kiasi cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi. Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond... Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi.. Baba huyo amemtumia ujumbe Diamond na kumwambia kuwa Asisubiri afe ndio aende kumzika anamuomba msaada sasa ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua.

0 comments:

Post a Comment