Pages

Subscribe:

Monday, May 4, 2015

PICHA ZA WEMA NA IDRIS ZACHUKUA SURA MPYA MTANDAONI

Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni
See more...





Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni 1

Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni 2
Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’. Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’. Lakini yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na picha hizi zimekuwa ziki TREND mtandaoni na kupokea LIKES na COMMENTS’ za kutosha,

0 comments:

Post a Comment