Pages

Subscribe:

Tuesday, July 25, 2017

BEN POL, ROMA NA STAMINA WAINGIA KUREKODI NGOMA YA PAMOJA

Msanii Ben Pol ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Tatu' amefunguka na kusema watu wajiandae kwani kuna ujio mkubwa wa wimbo wa wasanii wakubwa watatu akiwepo yeye mwenyewe, Roma Mkatoliki na Stamina. 

Ben Pol alisema hayo Ijumaa kwenye na kudai wimbo huo ni hatari sana na umetayarishwa na...
producer Manecky wa AM Records

"Sijafika pamoja na Ebitoke sababu mimi nilikuwa na (Studio Session) na msanii Roma Mkatoliki, Stamina na Manecky, hicho kitu kilichofanyika hapo ni hatari sana, yaani ni 'Fire' naomba watu wajiandae tu kwa hilo goma" alisema Ben Pol 

Ben Pol amedai wimbo huo ambao umeweza kuwakutanisha pamoja yeye, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina ni wimbo wa pamoja wa kushirikiana.

0 comments:

Post a Comment