Pages

Subscribe:

Friday, July 28, 2017

FRENCH MONTANA NA THE WEEKEND WASAIDIA SEKTA YA AFYA NCHINI UGANDA


Licha ya kuwa bize katika kuipromote Album yake ya “Junge Rules”, Unaambiwa rapper French Montana pamoja na mshikaji wake The Weeknd waamua kusaidia Sekta ya Afya huko nchini Uganda ambapo kila mmoja alijitolea dola za kimarekani Laki Moja.

Kabla ya msaada, kituo hicho cha Afya cha Suubi kilichopo Bondondo nchini Uganda kilikuwa na uwezo wa kusaidia watu 56,000 lakini kupitia mchango wao wa dola...
lakimoja lakimoja ambao ni sawa na Milioni 400 za Kibongo utafanikisha kituo hiko kupokea watu 286000.

0 comments:

Post a Comment