Pages

Subscribe:

Monday, July 31, 2017

WIZKID AZIDI KUWA TISHIO ATENGENEZA ALBUM NDANI YA SIKU MBILI


Inaonekana kwamba baada ya kumaliza Concert yake huko nchini Kenya, Nairobi unaambiwa Wizkid alivyotua tu Nigeria ametengeneza Album ndani ya siku mbili.

Sasa taarifa hiyo ambayo inamwonesha Wizkid kwamba hakuwa na nafasi ya bure bali alikuwa na nafasi ya kuwatengenezea mashabiki zawadi ya ujio wa Album, ambapo taarifa hiyo ilitolewa na...
rafiki wake wa kitambo anaefahamika kama Rotimi Rudeboy ambae alitumia kurasa yake ya Twitter kusema kwamba

 “Wiz really came to naij to make an album in 2days…mad mad mad,”  Rotini hakushia hapo, aakamua kuwanogesha zaidi kwa kusema kwamba Wizkid ananyimbo yake tayari imeshaachiwa ya Medicine.

Lakini baadae wizkid na yeye alijibu kwa kutweet:  2 fucking days blad!

0 comments:

Post a Comment