Pages

Subscribe:

Thursday, July 27, 2017

DRAKE AFUNGUKA KUHUSU TATTOO YA SURA YA LIL WAYNE MKONONI MWAKE


#Drake got #LilWayne tatted on his arm

Baada ya taarifa kibao kusambaa mtandaoni kuhusu rapper Drake kwamba amejichora tattoo mpya ya Lil Wayne, Unaambiwa kwamba tattoo hiyo ilichorwa muda mrefu.

Kama ulikuwa ni miongoni mwa watu ambao ulikuwa ukishabikia kwamba sura ya Lil Wayne kwenye mkono wa Drake kwamba ni tattoo mpya basi uanze kuacha kushabikia, Good things ni kwamba Tmz wameripoti taarifa hiyo kwa kusema kwamba tattoo hiyo ya Drake unaambiwa inakama...
miezi mitano.

Tatto hiyo ilikuwa ngumu kuonekana kutokana na muda mrefu kuvalia nguo ambazo ni ndefu.

0 comments:

Post a Comment