Pages

Subscribe:

Wednesday, April 4, 2018

BAADA YA PERFUME NA KARANGA, RADIO NA TV SASA DIAMOND KUJA NA BIDHAA NYINGINE


Ni jana tu wasafi Tv imeanza kuruka hewani mbali na kufanya vizuri katika muziki pia sasa Diamond ameendelea kujikita ktk biashara ukiachilia mbali bidhaa zake za Diamond Karanga na Chibu Perfume sasa Diamond Platnumz atangaza kuja na bidhaa nyingine mpya.

kupitia insta Diamond amepost picha ya box la Diamond karanga huku likiwa na rangi ya kijani na kuandika: Niruhusu nikutambulishe Bidhaa nyingine Mpya.....Ulimwengu Mwingine Mpya... Hebu Otea Ni...
Ulimwengu na bidhaa ipi hio??

Am about to introduce to you my new Product...Guess What is it????

0 comments:

Post a Comment