Pages

Subscribe:

Wednesday, April 4, 2018

ZARI NA WATOTO ZAKE WA 3 WAENDELEA KULA BATA DUBAI

Mfanyabiashara maarufu na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zari The Bosslady ameendelea kula bata Dubai na watoto wake. 

Zari ameenda Dubai kwa ajili ya mapumziko ya Pasaka pamoja na familia yake ambapo ameongozana na watoto wake watatu wakubwa na mpiga picha wake. Hizi ni baadhi ya picha za Zari na familia yake wakila bata...











0 comments:

Post a Comment