Pages

Subscribe:

Wednesday, April 4, 2018

WANAFUNZI 333 HUKO ARUSHA NI WAJAWAZITO

Mkuu wa wilaya ya Monduli, Iddi Kimanta amesema kutokana na wanafunzi 333 kupata ujauzito kwa kipindi cha mwaka mmoja ni aibu na inaonyesha baadhi ya  wanaume wa mkoa wa Arusha wanashindwa kutongoza na kuwafuata wanafunzi jambo ambalo halikubaliki.

Kimata amezungumza kauli hiyo leo April 3, 2018  wakati akizungumza kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa RCC. “Lakini kwa mtu akisikia tu wanafunzi 333 wengi wamebakwa maanake mkoa wa Arusha ni...
wawabakaji watupu wa wanafunzi” -DC kimanta

0 comments:

Post a Comment