Pages

Subscribe:

Friday, July 14, 2017

MSANII KUTOKA NIGERIA AFUNGUKA YA MOYONI JUU YA ENEKA YA DIAMOND


Diamond Platnumz ameamua kuitekeleza ahadi yake ya kuachia ngoma mfululizo ambapo baada ya kuachia “Fire” na “I mIss You”, Eneka ikafuatiwa na mapokezi yake yalikuwa mazuri mpaka kumfanya yemi Alade kushangaa uimbaji wa Diamond.

Ngoma na Video ya wimbo wa “Eneka” haina ubishi, moja ya ngoma kali ambayo Diamond ameifanya kwa kushitukiza kwa mashabiki wake, Good newz nyingine ni kwamba kutoka pande za Nigeria msanii...
Yemi alade aliamua kushusha comment chini ya ukurasa wa Diamond kwa kusema kwamba “Omg you are singing in IGBO”

Director wa video ni Sesan ambaye ametisha kwa ma-location flan ya kinyama kama jangwani na sehem zingine tofauti tofauti.

0 comments:

Post a Comment