skip to main |
skip to sidebar
KITUO CHA RUNINGA CHA NCHINI MAREKANI BET CHAMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ
Kituo cha runinga cha kimataifa cha ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii
wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy
From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao
was iTunes nchini Burkina Faso.
Kituo hicho kimetoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa
kuandika ”Hongera Diamond Platnumz kwa kuingiza nyimbo tano
zinazosikilizwa zaidi...
nchini Burkina Faso kwenye mtandao wa iTunes”.
Jumatano Machi 14, 2018 Diamond Platnumz alizindua album yake ya ‘A BOY FROM TANDALE’ jijini Nairobi nchini Kenya.
0 comments:
Post a Comment