Pages

Subscribe:

Sunday, March 11, 2018

TIWA SAVAGE AFUATA NYAYO ZA BEYOUNCE NA VAZI LA JACQUEMUS


Stori za kitaa zinazomuhusu msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage  ni kusaini  na  lebo ya Jay Z Roc Nation licha ya kuwa mpaka sasa bado haijawa wazi.

Tiwa kaamua kuonyesha kama yupo serious hivi na suala hilo kwa kuamua kufuata nyayo za mke wa Boss wake mtarajiwa yaani Beyoncé Knowles kwa kutinga...
sketi inayofanana naye. 

Wawili hao kwa wakati tofauti wameonekana waki-trending katika vazi la sketi ya Jacquemus ambayo kila mmoja ameonyesha uwezo wa kuivaa kwa aina yake.

Picha za Beyonce katika vazi la Jacquemus





:Picha za Tiwa Savage katika vazi la Jacquemus 



0 comments:

Post a Comment